musicas.mus.br
Letras de músicas - letra de música - letra da música - letras e cifras - letras traduzidas - letra traduzida - lyrics - paroles - lyric - canciones - SINA MALI, SINA DENI - KHADJA NIN - música e letra
Utilize o abecedário abaixo para abrir as páginas de letras dos artistas
Sina Mali, Sina Deni letra
Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto
Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua
Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma
I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori
Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona
I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona
Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni
Khadja Nin - Letras
- Afrika Obota
- Ay Ay Ay
- Bwana C.
- Damu ya salaam
- Embargo
- Haya
- Ile
- Kembo
- Leo leya
- Like an Angel
- Love's Embrace
- M'barik fall
- Mama
- Mama lusiya
- Mulofa
- Mupe
- Mwana Wa Mama
- Mzee Mandela
- Njala
- Rosy
- Rudiya
- Sailing
- Samba Latino
- Sambolera mayi son
- Save Us
- Sesiliya
- Simba
- Sina Mali, Sina Deni
- Sous le charme
- Turasa
- Wale watu
top 30 músicas
©2003 - 2024 - musicas.mus.br